Kwa Tweets by @echenze

“RT @Wekesah_: haters wa #MUFC saa hii wanakunywa croissants kwa mahindi choma”

“"@kijanafulani: Di Maria.. Akicheki scoreline atarudi Real Madrid ajiseti kwa bench ya Masub na apology letter iko font size 36.." LOL”

“"@_Nzuki: sasa kama njoki chege ameweka watu wa mark X kwa sijui level 3 si wa kukula kwa kibanda ni the living dead" hahaha”

“RT @allenochi: Then>>>"@vynkev: Simu ikiwachwa kwa OB mnauza? "@KenyaPolice: HTC One X 16GB at Ksh 57,000 and 32GB at Ksh 60K. Email alai@techmtaa.com"”

“RT @iTanzania_i: Mtu una degree miaka mitano unalalamika hakuna ajira.. Heka moja ya ardhi inatoa milioni 6 kwa miezi mitatu ukipanda nyanya...”

“Anza ku-unlock Vitz kwanza "@musyoka_victor: Toyota G-Touring imeparkiwa street gani kwa hii NFS?"”

“RT @Rube_Mfalme: Hakuna ata job advert kwa gazeti hadi nasoma obituaries nione mse amekufa alikua anawork wapi ndio niapply job huko”

“"@Lee_TheSid: We can hug after the game, but once you take off your shirt, we ain't even greeting" hizi standards zako peleka kwa jiko”

“LMAO "@HexHeizzy: Sharrap, endelea kuroast kwa double decker > "@Edu_exe: Weka 3G "@HexHeizzy: This game is so on the edge, damn"""”

“RT @JoeWMuchiri: People are yet to get to Machakos 6 hours later. Woi. Poleni kwa traffic. Muhahahaha 😈😈😈”

“"@armuisME: Hakuna G8 nation kwa knockout round #brasil2014" #GER #FRA?”

“So much marketing on this TL. Ni usiku, the dumb ones who can easily swallow that are asleep. Wacha tuone game kwa amani.”

“RT @kevthanewversi: WC ilianza ukiwa umebuy decoder mpya na LED TV. Itaisha watu wa SportPesa wakikujia hadi stove na match ya mwisho uwatch kwa radio.”

Twitter / DrAlfredMutua: Kwa sababu Usalama ni Wewe ...

Twitter / DrAlfredMutua: Kwa sababu Usalama ni Wewe ...

RT @DrAlfredMutua: Kwa sababu Usalama ni Wewe na Mimi, Machakos gives laptops, 3 transmitters & 250 radios to enhance police response.

“RT @Frank_TidyGipsy: Imeenda kutafuta Octopus kwa maji for guidance and Counseling "@JoeWMuchiri: Ile ngamia iko wapi tukule LOOOOL"”

“Treat kwa cake shop? You're a Kenyan? "@tanierii: Ruaka has pathetic cake shops smh.
Hata huwezi peleka mtu for a treat.
Nyama na pombe tu"”

“Smh "@adrian_kibai: I think S3 mini is water proof....imeanguka kwa basin ya maji na ni phonebook tu ndio wet"”

Kwa kina @MrEricWainaina "@Thegooglefactz Want to hold a family meeting? Turn off the WiFi and wait in the room where the router is kept""”

“LOL "@uwanja @Eddykimani @echenze Hata uwe na Range Rover chooni utaenda kwa miguu."”

“Pesa ya kukunywa New Year haijaingia kwa account "@Rube_Mfalme: @HELBpage check DM"”

The Unsullied Twitter

See what's Trending Now for @echenze

See All Trending »
x
The Unsullied

Follow @echenze on Twitter